Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo uzima-katika-ufalme. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo uzima-katika-ufalme. Onyesha machapisho yote

5.05.2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Watu! Furahini!

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki


Kanisa la Mwenyezi Mungu | Watu! Furahini!


Mwenyezi Mungu alisema, Katika nuru Yangu, watu wanaona nuru tena. Katika neno Langu, watu wanapata vitu vya raha. Nimekuja kutoka Mashariki nami Natoka huko. Wakati ambapo utukufu Wangu unang'aa, mataifa yote yanaangaziwa, vitu vyote vinaletwa katika nuru, hakuna kitu kinachobaki katika giza. Katika ufalme, maisha ya watu wa Mungu pamoja na Mungu ni ya furaha isiyolinganishwa. Maji yanacheza kwa ajili ya maisha ya watu yaliyobarikiwa, milima inafurahia utele Wangu pamoja na watu. Wanadamu wote wanajitahidi, wakifanya kazi kwa bidii, wakionyesha uaminifu wao katika ufalme Wangu. Katika ufalme, hakuna uasi tena, hakuna upinzani tena; mbingu na dunia vinategemeana, Mimi na mwanadamu tuko karibu nasi tunahisi kwa kina, kupitia furaha kuu za maisha, tukiegemeana....