Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo kupata. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo kupata. Onyesha machapisho yote

2.20.2018

Kuhusu Kila Mmoja Kutekeleza Wajibu Wake

Mwenyezi Mungu alisema, Katika mkondo wa sasa, kila mtu anayempenda Mungu kwa kweli ana fursa ya kukamilishwa na Yeye. Bila kujali kama yeye ni kijana au mzee, mradi tu anatazamia kwa hamu kumtii Mungu na kumheshimu Yeye, wataweza kukamilishwa na Yeye. Mungu huwakamilisha watu kulingana na kazi zao tofauti.