Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Matamshi-ya-Kristo. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Matamshi-ya-Kristo. Onyesha machapisho yote

3.03.2019

Matamshi ya Kristo | Sura ya 113

Kila kitendo Ninachokifanya kina hekima Yangu ndani yake, lakini mwanadamu hawezi kukielewa kamwe; mwanadamu anaweza tu kuona matendo Yangu na maneno Yangu, lakini hawezi kuuona utukufu Wangu, au kuonekana kwa nafsi Yangu, kwa sababu mwanadamu hasa anakosa uwezo huu. Chini ya hali ya kutombadilisha mwanadamu, wazaliwa Wangu wa kwanza nami tutarejea Sayuni na kubadili sura, ili mwanadamu aweze kuiona hekima Yangu na kudura Yangu. 

2.17.2019

Matamshi ya Kristo | Sura ya 74

Mwenyezi Mungu alisema, “Wamebarikiwa wale ambao wamelisoma neno Langu na kuamini kwamba litatimizwa—Sitakutendea vibaya, lakini Nitafanya yale unayoamini yatimizwe kwako. Hii ni baraka Yangu ikija juu yako. Neno Langu linapiga siri zilizofichwa ndani ya kila mtu. Kila mtu ana majeraha ya mauti, na Mimi ni tabibu mzuri ambaye anayaponya—njoo tu katika uwepo Wangu. Kwa nini Nilisema kuwa katika siku zijazo hakutakuwa tena na huzuni na hakutakuwa na machozi? Ni kwa sababu ya hili.  

2.14.2019

Matamshi ya Kristo | Sura ya 44

Mwenyezi Mungu alisema, Mimi ni mwenye haki, Mimi ni mwaminifu, Mimi ndimi Mungu anayechunguza moyo wa ndani zaidi wa mwanadamu! Nitafichua mara moja aliye wa kweli na aliye wa uongo. Hakuna haja ya kuwa na hofu, vitu vyote hufanya kazi kwa wakati Wangu. Ni nani asiyenitaka Mimi kwa dhati, ni nani asiyenitaka Mimi kwa dhati—Nitawaambia.

2.12.2019

Matamshi ya Kristo | Sura ya 42

Jinsi gani matendo ya Mwenyezi Mungu yalivyo makuu! Jinsi ilivyo ya ajabu! Jinsi ilivyo ya kushangaza! Tarumbeta saba zinatoa sauti, ngurumo saba zinatolewa, bakuli saba zinamwangwa—hii itadhihirika wazi mara moja na hakuwezi kuwa na shaka. Upendo wa Mungu huja juu yetu kila siku na ni Mwenyezi Mungu pekee Anayeweza kutuokoa; kama tunakabiliwa na bahati mbaya au kupokea baraka ni kwa sababu Yake kabisa, na sisi wanadamu hatuna njia ya kuamua hili.

2.11.2019

Matamshi ya Kristo | Sura ya 40

Mwenyezi Mungu alisema:" Kwa nini ninyi ni wa mwendo wa polepole? Kwa nini hamsikii? Makumbusho kadhaa hayajawazindua; hili linanihuzunisha. Kwa kweli Sipendi kuwaona wanangu namna hii. Moyo Wangu unawezaje kustahimili hili? Ah! Lazima Niwafundishe kwa mkono Wangu mwenyewe. Mwendo Wangu unaendelea kuwa wa kasi. Wanangu! Inukeni haraka na mshirikiane na Mimi. Nani wanajitumia kwa dhati kwa ajili Yangu sasa? Ni nani anayeweza kujitolea kikamilifu bila malalamiko hata kidogo?

"Nimewahi Treni ya Mwisho" (2) :Kurudi kwa Bwana katika Mwili Kunatimiza Unabii wa Biblia


"Nimewahi Treni ya Mwisho" (2) :Kurudi kwa Bwana katika Mwili Kunatimiza Unabii wa Biblia 


Kwa maana Bwana atarudi katika zile siku za mwisho, Bwana Yesu akasema, “Na ninyi pia muwe tayari: maana katika saa kama hii msiyofikiria kuwa Mwana wa Adamu atakuja” (Luka 12:40). "Kwani kama umeme, unavyomulika chini ya mbingu kutoka sehemu moja, huangaza hadi sehemu nyingine chini ya mbingu; vivyo ndivyo Mwana wa Adamu atakuwa katika siku yake. Bali kwanza lazima apitie mambo mengi, na akataliwe na kizazi hiki” (Luka 17: 24-25).

1.27.2019

Matamshi ya Kristo wa Siku za Mwisho | "Kuhusu Majina na Utambulisho" (Sehemu ya Kwanza)


       Mwenyezi Mungu anasema, "Yesu aliwakilisha Roho wa Mungu, na Alikuwa Roho wa Mungu Akifanya kazi moja kwa moja. Alifanya kazi ya enzi mpya, kazi ambayo hakuna aliyekuwa amefanya mbeleni.

1.16.2019

Matamshi ya Kristo wa Siku za Mwisho | "Mungu Anaongoza Majaliwa ya Wanadamu Wote"

Matamshi ya Kristo wa Siku za Mwisho | "Mungu Anaongoza Majaliwa ya Wanadamu Wote"


        Mwenyezi Mungu anasema, "Mungu aliumba dunia hii, Aliumba mwanadamu huyu, na zaidi ya hayo Alikuwa muasisi wa utamaduni wa zamani wa Giriki na ustaarabu wa binadamu.