Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Filamu bora zaidi za muziki. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Filamu bora zaidi za muziki. Onyesha machapisho yote

11.23.2019

Drama ya Muziki "Kwaya ya Injili ya Kichina Onyesho la 19"

 

 Karibu Kurudi kwa Bwana Yesu | Drama ya Muziki "Kwaya ya Injili ya Kichina Onyesho la 19"

Chini ya mbingu ya usiku yenye nyota, tulivu na kimya, kundi la Wakristo wanasubiri kwa ari kurudi kwa Mwokozi wakiimba na kucheza kwa muziki mchangamfu.Wanaposikia habari za furaha "Mungu amerejea" na "Mungu ametamka maneno mapya", wanashangaa na kusisimka.