1.20.2019

Swahili Gospel Video Clip "Kuibuka na Kuanguka kwa Falme ya Kirumi"



    Kazi ya Mungu, Milki ya kale ya Kirumi iliinuka na ilianzishwa kwa ajili ya kuenea kwa Ukristo. Kipindi chake cha heri na furaha kubwa kilikaribishwa na kuanzisha Ukristo kama dini yake ya kitaifa. Na ikaharibiwa kutokana na mateso yake ya Wakristo…. Tazama dondoo hii ya filamu ya Kikristo ili kutambua sababu za kuibuka na kuanguka kwa Milki ya Kirumi.

       Kujua zaidi: Umeme wa Mashariki Hutoka wapi? 
                        Kujua Kanisa la Mwenyezi Mungu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni