Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo kuja-kwa-mara-ya-pili. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo kuja-kwa-mara-ya-pili. Onyesha machapisho yote

1.23.2019

Matamshi ya Kristo wa Siku za Mwisho | "Je, Wajua? Mungu Amefanya Jambo Kubwa Miongoni Mwa Wanadamu"


Matamshi ya Kristo wa Siku za Mwisho | "Je, Wajua? Mungu Amefanya Jambo Kubwa Miongoni Mwa Wanadamu"


       Mwenyezi Mungu anasema, "Bila kazi ya Yesu, mwanadamu hangeweza kushuka chini kutoka msalabani, lakini bila kupata mwili siku hii, wale wanaoshuka chini kutoka msalabani hawangewahi kusifiwa na Mungu ama kuingia katika enzi mpya.

1.20.2019

Swahili Gospel Video Clip "Kuibuka na Kuanguka kwa Falme ya Kirumi"



    Kazi ya Mungu, Milki ya kale ya Kirumi iliinuka na ilianzishwa kwa ajili ya kuenea kwa Ukristo. Kipindi chake cha heri na furaha kubwa kilikaribishwa na kuanzisha Ukristo kama dini yake ya kitaifa.

12.24.2017

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Dibaji

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Dibaji

Dibaji | Kanisa la Mwenyezi Mungu

Mwenyezi Mungu alisema, Ingawa watu wengi wanaamini katika Mungu, ni wachache wanaoelewa ni nini maana ya imani katika Mungu, na ni nini wanachopaswa kufanya ili waupendeze moyo wa Mungu. Hii ni kwa sababu, hata ingawa watu wengi wanalifahamu neno “Mungu” na mafungu ya maneno kama “kazi ya Mungu”, hawamjui Mungu, sembuse kujua kazi ya Mungu. Si ajabu, basi, kwamba wale wote wasiomjua Mungu wamejawa na imani iliyovurugika. Watu hawachukulii imani kwa Mungu kwa uzito kwa kuwa kuamini Mungu ni jambo geni, jambo lisilo la kawaida sana kwao. Kwa njia hii, hawafikii mahitaji ya Mungu.