6.15.2018

"Kubisha Hodi Mlangoni" (1) - Ni Desturi Gani Muhimu Zaidi ya Kuukaribisha Ujio wa Bwana

"Kubisha Hodi Mlangoni" (1) - Ni Desturi Gani Muhimu Zaidi ya Kuukaribisha Ujio wa Bwana


    Bwana Yesu alisema, "Kondoo wangu huisikia sauti yangu, na mimi Ninawajua, nao hunifuata" (Yohana 10:27). Pia imetabiriwa mara nyingi katika Ufunuo, "Yeye aliye na sikio, na asikie lile Roho anayaambia makanisa." Sauti na maneno ya Roho ni sauti ya Bwana, na ni kondoo wa Mungu mbao watatambua sauti ya Mungu. Ni tendo gani, basi, lililo muhimu kwa Wakristo wanapoukaribisha ujio wa Bwana?

    Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni