5.23.2018

Swahili Gospel Movie | “Jina la Mungu Limebadilika?!” (Clip 5/7)

Swahili Gospel Movie | “Jina la Mungu Limebadilika?!” Movie Clip: Ni Kukubali Jina Jipya la Mungu Ndiko Kuwa na Kasi Sawa na Nyayo za Mwanakondoo


    Wachungaji na wazee wa ulimwengu wa dinimara nyingi huhubiri kwa waumini kuwa Bwana Yesu alisulubishwa msalabani kwa ajili ya dhambi za kila mmoja na kuwa mwanadamu amekombolewa kutoka kwa dhambi. Wanahubiri kuwa, mtu anapomwacha Bwana Yesu na kuamini Mwenyezi Mungu, ni sawa na kumsaliti Bwana Yesu na kuasi imani. Je, hakika ukweli uko hivi? Bwana Yesu alipokuja kufanya kazi Yake wakati huo, je, wale walioiacha hekalu na kumfuata Bwana Yesu hawakushutumiwa pia na Mafarisayo Wayahudi kwa njia hii kuwa wanasaliti Yehova Mungu? Hivyo, je, kukubali kazi mpya ya Mungu ni kuasi imani na kumsaliti Mungu? Au ni kuambatana na nyayo za Mwanakondoo na kupata wokovu wa Mungu? Tutaangazia masuala haya pamoja katika video hii fupi.

    Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni