Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo ukweliRoho Mtakatifu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo ukweliRoho Mtakatifu. Onyesha machapisho yote

9.04.2018

Mtu Mpotovu Hawezi Kumwakilisha Mungu

Mtu Mpotovu Hawezi Kumwakilisha Mungu

Binadamu amekuwa akiishi katika funiko la ushawishi wa giza, huku akiwa amezuiliwa bila ya kuwachiliwa na ushawishi wa Shetani. Nayo tabia ya binadamu, baada ya kutengenezwa na Shetani, inaendelea kuongezeka kuwa potovu. Kwa maneno mengine, binadamu huishi daima na tabia yake potovu ya kishetani, asiweze kumpenda Mungu kwa kweli.