Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Nyimbo za Kwaya. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Nyimbo za Kwaya. Onyesha machapisho yote

1.01.2020

"Wimbo wa Ufalme: Ufalme Washuka Duniani" Mambo Muhimu 5



Wimbo wa Kwaya ya Injili | "Wimbo wa Ufalme: Ufalme Washuka Duniani" Mambo Muhimu 5: Tumaini la Milenia Hatimaye Latimia | Wimbo wa Kuabudu


Wimbo wa kusisimua wa ufalme umevuma, ukitangazia ulimwengu wote kuwasili kwa Mungu kati ya mwanadamu! Ufalme wa Mungu umefika! Watu wote washangilia, vitu vyote vyafurahi! Kila kitu mbinguni kote kina furaha tele.  Mandhari haya yanayopendeza mno ya shangwe ni yapi?