Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Namna-Ambavyo-Binadamu-Wameendelea. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Namna-Ambavyo-Binadamu-Wameendelea. Onyesha machapisho yote

1.21.2019

Maonyesho ya Mungu | "Wafaa Kujua Namna Ambavyo Binadamu Wote Wameendelea Hadi Siku ya Leo" (sehemu ya kwanza)


      Mwenyezi Mungu alisema, Je, watu hawaamini kwamba ilipangwa awali kabla ya uumbaji kwamba Yuda angeweza kumwuza Yesu? Kwa hakika, Roho Mtakatifu alikuwa amepanga haya kulingana na uhalisia wakati huo. Ilifanyika tu kwamba kulikuwepo mtu kwa jina la Yuda ambaye siku zote angebadhiri fedha. Hivyo basi alichaguliwa kutekeleza wajibu huu na kuwa mwenye huduma katika njia hii. Huu ni mfano halisi wa kutumia rasilimali za mahali palepale.