Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Msururu wa Video za Kwaya. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Msururu wa Video za Kwaya. Onyesha machapisho yote

11.29.2019

Kwaya ya Injili ya Kichina Onyesho la 18

      

        Kwaya za Injili :


1. Mungu ndiye Mwanzo na tena Mwisho
2. Mwenyezi Mungu Amekuwa Ameketi Kwenye Kiti Kitukufu cha Enzi

1. Mungu ndiye Mwanzo na tena Mwisho

Mungu ndiye Mwanzo, Mungu ndiye Mwanzo, Mungu ndiye Mwanzo, na tena Mwisho, na tena Mwisho, na tena Mwisho. Mungu ndiye Mpanzi, Mungu ndiye Mpanzi, Mungu ndiye Mpanzi, na Mvunaji (Mvunaji). Mungu ndiye Mwanzo na Mwisho; Mungu ndiye Mpanzi na Mvunaji.