Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kristo-wa-Siku-za-Mwisho-Ameonekana. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kristo-wa-Siku-za-Mwisho-Ameonekana. Onyesha machapisho yote

1.17.2019

Maneno ya Mungu | "Kuonekana kwa Mungu Kumeleta Enzi Mpya"


Neno la Mungu | "Kuonekana kwa Mungu Kumeleta Enzi Mpya"


      Mwenyezi Mungu anasema, "Kuonekana kwa Mungu hurejelea kuwasili Kwake duniani kufanya kazi Yake. Akiwa na utambulisho na tabia Yake, na katika mbinu Yake ya asili, Yeye hushuka miongoni mwa wanadamu kufanya kazi ya kuanzisha enzi mpya na kukamilisha enzi nyingine. Kuonekana kwa aina hii si aina fulani ya sherehe. Si ishara, picha, muujiza, au ono kuu, na hata zaidi si mchakato fulani wa kidini.