Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Filamu za Injili. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Filamu za Injili. Onyesha machapisho yote

12.07.2019

Miaka 17? Hakika!

 

Swahili Christian Movie Based on True Story "Miaka 17? Hakika!" | The Power of Faith in God


"Kijana! Je, unajua kwamba Chama cha Kikomunisti ni kikana Mungu na kiko kinyume na imani katika Mungu? Katika China, kuna Mungu yupi kwako kuamini? Mungu huyu wako yuko wapi?" "Usifikiri kwamba kwa sababu wewe ni mdogo, tutakuwa wenye huruma kwako! Ukiendelea kumwamini Mungu, utaishia kufa!" Wakiwa na fimbo za umeme mikononi, polisi wa Kikomunisti wa China wanamvamia kijana huyu ambaye amejawa na mavilio ya damu.