8.13.2018

Mwenyezi Mungu, Sasa Niko na Wewe

Mwenyezi Mungu, Kanisa la Mwenyezi Mungu, neema

Mwenyezi Mungu, Sasa Niko na Wewe

Mwenyezi Mungu, sasa kwa sababu tuko na Wewe, masumbuko yanabadilika kuwa furaha.
Kula, kunywa, kufurahia maneno Yako, tuko na Wewe kila siku.
Maji Yako ya uzima yanatustawisha, tuna ukarimu kwa vyote.
Jua ukweli, ingia katika ukweli, yote yanakutegemea Wewe.
Ndugu, acha tule, tunywe maneno ya Mungu.
Shirikini na ukweli Wake, mkifurahia neema Yake, ishini katika ufalme Wake kila wakati.
Dada, pendaneni kila mmoja.
Tujiunge katika kujitumia Kwake, tutimize uaminifu kwa Mungu.
Mwenyezi Mungu, nikiwa na Wewe, moyo wangu utatosheka.
Nimeacha raha za kimwili, faida, majivuno na umaarufu pia.
Ee Mungu wangu, ukweli ndio nitakaofuatilia, nitatia bidii kuipata yote.
Niishi kulingana na maneno Yako, nimshinde Shetani, na kupatwa na Wewe.
Ndugu, acha tule, tunywe maneno ya Mungu.
Shirikini na ukweli Wake, mkifurahia neema Yake, ishini katika ufalme Wake kila wakati.
Dada, pendaneni kila mmoja.
Tujiunge katika kujitumia Kwake, tutimize uaminifu kwa Mungu.
Kila wakati kufuata nyayo za Mungu, na kuishi katika nyumba Yake.
Ukweli, njia na uzima vimewekwa juu yako na yangu.
Tukifuatilia tu ukweli wote na kumpenda Mungu kwa kweli,
uso wa tabasamu wa Mwenyezi utang’aa juu yetu mara kwa mara.
Ndugu, acha tule, tunywe maneno ya Mungu.
Shirikini na ukweli Wake, mkifurahia neema Yake, ishini katika ufalme Wake kila wakati.
Dada, pendaneni kila mmoja.
Tujiunge katika kujitumia Kwake, tutimize uaminifu kwa Mungu.
Timizeni uaminifu kwa Mungu.

kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

 Soma zaidi: Kuhusu Kanisa la Mwenyezi Mungu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni