Kila
wakati nilipoona au kusikia kuhusu mtu aliyekuwa amebadilishwa naye
kujisikia mwenye huzuni, dhaifu au mnunaji, na kutotaka kufuata tena,
basi niliwaangalia kwa dharau. Nilidhani haikuwa kitu zaidi ya watu
tofauti waliokuwa na majukumu tofauti ndani ya kanisa, kwamba hakukuwa
na tofauti kati ya juu au chini, kwamba sote tulikuwa uumbaji wa Mungu
na hakukuwa na sababu ya kuhuzunikia.
Kwa hiyo kama nilikuwa nikiwatunza
waumini wapya au kuongoza wilaya, sikuwahi kufikiri kuwa nilizingatia
sana hadhi yangu, kwamba nilikuwa mtu wa aina hiyo. Singeweza kamwe
kufikiri hata katika miaka milioni moja kwamba ningeonyesha tabia ya
aibu kama hiyo wakati mimi mwenyewe nilipobadilishwa ...
Kwa kuwa kazi yangu haikuwa imeleta matokeo yoyote kwa muda fulani, kiongozi wangu alinibadilisha. Wakati huo, nilidhani kuwa hata kama tabia yangu haikuwa imefanywa kuwa kiongozi wa wilaya, hakika ni lazima bado niruhusiwe kufanya kazi ya kunyunyizia au kuhifadhi kazi. Sikuwahi kutarajia kiongozi wangu anifanye nitunze kazi za kawaida. Nilishangaa basi, nikifikiria kuwa kiongozi wa wilaya mwenye heshima kama mimi leo akitumwa, na kwamba mtu yeyote katika kanisa ambaye angeweza kupeleka ujumbe au ambaye alikuwa na akili kidogo angeweza kufanya kazi hii. Je, si kunilazimisha nifanye kazi hii ulikuwa dhahiri ni uharibifu wa vipaji vyangu? Lakini niliendelea kujiwekea hisia zangu, nikiwa na hofu kwamba dada zangu wangesema sikuwa mtiifu, kwamba nilijali kuhusu hadhi yangu. Lakini mara tu nilipofika nyumbani, nilianguka sawasawa kitandani na kujisikia vibaya sana. Mawazo ya kutokuwa na hadhi kutoka sasa kwendelea na kushangaa ni jinsi gani ndugu zangu wa kike na wa kiume wangeniona yalijaa kichwani mwangu. Na kunifanya nitumwe— ningewezaje kupata umaarufu wangu tena? Nilivyozidi kulifikiria jambo hilo, ndivyo nilivyozidi kujihisi vibaya sana.
Kwa kuwa kazi yangu haikuwa imeleta matokeo yoyote kwa muda fulani, kiongozi wangu alinibadilisha. Wakati huo, nilidhani kuwa hata kama tabia yangu haikuwa imefanywa kuwa kiongozi wa wilaya, hakika ni lazima bado niruhusiwe kufanya kazi ya kunyunyizia au kuhifadhi kazi. Sikuwahi kutarajia kiongozi wangu anifanye nitunze kazi za kawaida. Nilishangaa basi, nikifikiria kuwa kiongozi wa wilaya mwenye heshima kama mimi leo akitumwa, na kwamba mtu yeyote katika kanisa ambaye angeweza kupeleka ujumbe au ambaye alikuwa na akili kidogo angeweza kufanya kazi hii. Je, si kunilazimisha nifanye kazi hii ulikuwa dhahiri ni uharibifu wa vipaji vyangu? Lakini niliendelea kujiwekea hisia zangu, nikiwa na hofu kwamba dada zangu wangesema sikuwa mtiifu, kwamba nilijali kuhusu hadhi yangu. Lakini mara tu nilipofika nyumbani, nilianguka sawasawa kitandani na kujisikia vibaya sana. Mawazo ya kutokuwa na hadhi kutoka sasa kwendelea na kushangaa ni jinsi gani ndugu zangu wa kike na wa kiume wangeniona yalijaa kichwani mwangu. Na kunifanya nitumwe— ningewezaje kupata umaarufu wangu tena? Nilivyozidi kulifikiria jambo hilo, ndivyo nilivyozidi kujihisi vibaya sana.
Siku chache baadaye, nikamwona
dada aliyekuwa amenipangia kazi. Mara tu nilipomwona, alinipa ushirika,
akisema, "Kufanya kazi hii inaonekana rahisi, lakini bado ni lazima
ifanywe kwa upendo," kisha akaendelea kuzungumza juu ya ukweli wa
vipengele kama vile hekima na utii. Nikanong’ona bila kujihusisha,
wakati moyo wangu ukiwa kama moto mkali, nikifikiri, "Unanipa ushirika?
Kana kwamba sijui chochote! Si ni mimi niliyekupa ushirika mwanzoni?
Sasa wewe ndiwe unayenipa kwa zamu." Hakuna neno hata moja la yale dada
yangu aliyokuwa akishiriki lilioingia ndani; badala yake niliudhiwa tu
na maneno yake ya kupita kiasi. Mwishowe nikasema bia subira, "Kuna
chochote kingine? Kama hakuna, basi nakwenda zangu! "Mara niliporudi,
niliendelea kujiuliza ni kwa nini nilikuwa na mtazamo kama huo kwa dada
yangu. Ikiwa hadhi yake ilikuwa ya juu kuliko yangu au sawa na yangu,
ningemtendea hivi? La, singefanya hivyo. Bila shaka haingekuwa hivyo! Si
ilikuwa ni kwa sababu daima nilikuwa nimemwongoza, na sasa yeye kwa
zamu alikuwa akinionyesha mambo ambayo yaliniacha nisiyeshawishika? Si
hii inaonyesha kwamba nilikuwa ninaongozwa na fikira za hadhi? Ghafla
nilihisi vibaya sana juu ya tabia yangu mwenyewe ya aibu na maneno ya
Mungu ya hukumu yalinijia: “Kadiri unavyotafuta zaidi kwa njia
hii ndivyo utavyovuna kidogo zaidi. Kadiri ilivyo kubwa zaidi tamaa ya
mtu ya hadhi, ndivyo itabidi washughulikiwe kwa uzito zaidi na ndivyo
zaidi lazima wapitie usafishaji mkubwa. Mtu wa aina hiyo hana thamani
kabisa! Lazima ashughulikiwe na ahukumiwe vya kutosha ili aache hilo
kabisa. Mkifuatilia kwa njia hii mpaka mwisho, hamtavuna chochote. Wale
ambao hawafuatilii maisha hawawezi kubadilishwa; wale ambao hawana kiu
ya ukweli hawawezi kupata ukweli. Hulengi kufuatilia mabadiliko ya
kibinafsi na kuingia ndani; daima wewe hulenga tamaa zile badhirifu na
vitu vinavyozuia upendo wako kwa Mungu na kukuzuia kufika karibu na
Yeye. Je, vitu hivyo vinaweza kukubadili? Je, vinaweza kukuleta katika
ufalme? Ikiwa kusudi la kufuatilia kwako si kutafuta ukweli, basi
afadhali utumie fursa hii na kurudi duniani ili kufanikiwa. Kupoteza
muda wako hivi kwa kweli hakuna thamani—kwa nini ujitese?”
(“Mbona Huko Tayari Kuwa Foili?” kutoka kwa Neno Laonekana katika
Mwili). Nikiangalia maneno ya Mungu na nikifikiri juu yangu mwenyewe,
niligundua kuwa kile nilichokuwa nikifuatilia hakikuwa ukweli kamwe,
wala sikuwa nikitafuta kumtosheleza Mungu, lakini badala yake ilikuwa
sifa, faida na hadhi. Nikiwa na hadhi, kujiamini kwangu kuliongezeka
mara mia moja; bila hadhi, nilijihisi kuhuzunika, mwenye harara na wa
huzuni sana hivi kwamba singeweza kujisumbua kufanya kazi. Kwa kweli
nilijisahau kwa hadhi yangu nikiharakisha pote nikijihusisha mchana
kutwa na mambo haya yasiyo na maana na yasiyo na thamani na kupoteza
wakati mwingi; na nilipata nini mwishowe? Tabia ya aibu niliyoionyesha
leo? Nikifikiri juu ya yote ambayo Mungu alikuwa amenifanyia, sikuwa tu
nimekosa kuufariji moyo wa Mungu kwa imani ambayo Yeye alikuwa ameweka
ndani yangu, lakini kwa kinyume, nilikuwa nimechukia kazi aliyokuwa
amenipa Yeye kuwa ni duni mno na sikutaka kuifanya. Kwa hiyo nilikuwa
nafuatilia dhamiri yangu mwenyewe? Nilimshukuru Mungu kwa ufunuo Wake
ambao uliniruhusu kuona aibu ya kufuatilia umaarufu wangu mwenyewe,
faida na hadhi, na kutambua kwamba nilikuwa mwenye kiburi sana, mweye
kujigamba sana na kuweka umuhimu mkubwa sana juu ya hadhi. Kisha kukaja
kwa fikira wimbo wa maneno ya Mungu: "Ee Mungu! Kama nina hadhi
au la, sasa ninajielewa mwenyewe. Hadhi yangu ikiwa juu ni kwa sababu ya
kuinuliwa na Wewe, na ikiwa iko chini ni kwa sababu ya mpango Wako.
Kila kitu ki mikononi Mwako. Sina chaguzi au malalamishi yoyote. ... na
ninapaswa tu kuwa mtiifu kabisa chini ya utawala Wako kwa sababu kila
kitu ki ndani ya yale Umepanga. ...Ukinitumia, mimi ni kiumbe.
Ukinikamilisha, mimi bado ni kiumbe. Usiponikamilisha, bado nitakupenda
kwa sababu mimi si zaidi ya kiumbe.”(kutoka kwa Mfuateni
Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya). Niliimba wimbo huu mara kwa mara,
machozi yakitiririka kutoka kwa macho yangu, na nikaja kuomba mbele ya
Mungu: Ee Mungu! Kupitia kwa maneno Yako nimekuja kuelewa nia Zako. Bila
kujali kama hali yangu ni ya juu au ya chini, mimi ni uumbaji Wako na
ni lazima nitii kabisa mipangilio unayoifanya Wewe, ni lazima nifanye
kila ninaloweza kutekeleza wajibu unaotarajiwa kwa moja ya uumbaji Wako
na nisiwe mchaguzi mwangalifu kwa yale uliyoniaminia kufanya. Ee Mungu!
Ninapenda tu kuitii mipangilio yako, kuwa mbele Yako na kufanya kazi
kama ng'ombe na kuwa chini ya mamlaka Yako, kamwe kutofanya tena mambo
ambayo hunisababisha mateso au yanayokuumiza Wewe kwa sababu ya hadhi.
Ee Mungu! Mimi natamani tu Wewe unishughulikie na kunihukumu hata zaidi,
kunifanya niwe na uwezo wa kuweka chini ufuatiliaji wangu wa hadhi,
kuacha mambo hayo ambayo huzuia nikukaribie Wewe na kukupenda Wewe, na
kufanya kila ninaloweza kutekeleza wajibu wangu kwa uaminifu wote.
kutoka kwa Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya
kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo
wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya
Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa
kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na
linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu.
Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya
Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu
ameonekana.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni