Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Tangu Nyakati za Kale Njia ya Kweli Imeelekezwa kwa Usumbufu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Tangu Nyakati za Kale Njia ya Kweli Imeelekezwa kwa Usumbufu. Onyesha machapisho yote

12.20.2019

Mipaka ya Meya wa Kijiji

Swahili Christian Skit "Mipaka ya Meya wa Kijiji" | Why Is There No Religious Freedom in China?

Mchezo mfupi Mipaka ya Meya wa Kijiji inaeleza hadithi ya kweli ya mume na mke Wakristo ambao wanalazimishwa kutoroka kwa sababu ya mateso ya serilaki ya CCP.

12.17.2019

Mungu Ndiye Nguvu ya Maisha Yangu


Video ya Kiswahili ya Ushuhuda wa Kikristo "Mungu Ndiye Nguvu ya Maisha Yangu" | Jinsi Wakristo Humtegemea Mungu Kushinda

Fang Jin ni Mkristo. Alikamatwa na serikali ya CCP kwenye mkusanyiko. Ili kumlazimisha kuwataja ndugu zake wa kike na kiume na kumsaliti Mungu, polisi walimnyima chakula, maji na usingizi kwa siku saba mchana na siku sita usiku, na kusababisha kila aina ya mateso ya kinyama juu yake: mapigo makali, kuning’inizwa, kuchuchumaa, kudhihakiwa na kufedheheshwa. Alikuwa amejaa majeraha na alipooza miguu.