Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Matamshi-ya-Mwenyezi-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Matamshi-ya-Mwenyezi-Mungu. Onyesha machapisho yote

1.28.2019

Matamshi ya Mungu | Sura ya 47

       Mwenyezi Mungu mwenye haki—Mwenyezi! Ndani Yako hakuna chochote kabisa kilichofichwa. Kila fumbo tangu zamani hadi milele, ambalo binadamu hawajawahi kufichua, ndani Yako linadhihirika na kwa jumla kuwa wazi.