Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kwaya za Injili. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kwaya za Injili. Onyesha machapisho yote

11.23.2019

Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu

 

Gospel Music | "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu" | Musical Documentary (Swahili Subtitles)


Kote katika ulimwengu mkubwa mno, sayari zote ya mbingu husogea kwa usahihi katika mizunguko yazo zenyewe. Chini ya mbingu, milima, mito, na maziwa vyote vina mipaka yavyo, na viumbe vyote huishi na kuzaana wakati wa misimu yote minne kulingana na sheria za maisha…. Hili lote limepangwa vizuri sana—je, kuna Mwenye Uwezo Mmoja anayepanga na kutawala yote haya?