Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kumsifu Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kumsifu Mungu. Onyesha machapisho yote

12.19.2019

Tuna Bahati Kukutana na Kuja kwa Mungu

Latest Swahili Praise and Worship Song | "Tuna Bahati Kukutana na Kuja kwa Mungu" | Tenzi ya Rohoni

Tuna bahati kukutana na kuja kwa mungu, twaisikia sauti Yake.
Tuna bahati kukutana na kuja kwa mungu, tunahudhuria sikukuu ya Mwanakondoo.
Tunamjua Mwenyezi Mungu mwenye mwili, tunaona matendo Yake ya ajabu.

12.01.2019

Ufalme Washuka Duniani” Mambo Muhimu 2: Kusherehekea Kuja kwa Mungu

 

Wimbo wa Kwaya ya Injili | “Wimbo wa Ufalme: Ufalme Washuka Duniani” Mambo Muhimu 2: Kusherehekea Kuja kwa Mungu | Wimbo wa Kuabudu

Wimbo wa kusisimua wa ufalme umevuma, ukitangazia ulimwengu wote kuwasili kwa Mungu kati ya mwanadamu! Ufalme wa Mungu umefika! Watu wote washangilia, vitu vyote vyafurahi! Kila kitu mbinguni kote kina furaha tele.  Mandhari haya yanayopendeza mno ya shangwe ni yapi?

11.28.2019

“Kiini Cha Kristo Ni Utiifu kwa Mapenzi ya Baba wa Mbinguni” (Dondoo 1)


Maneno ya Roho Mtakatifu | “Kiini Cha Kristo Ni Utiifu kwa Mapenzi ya Baba wa Mbinguni” (Dondoo 1)

Mwenyezi Mungu anasema, “Mungu mwenye mwili Anaitwa Kristo, na Kristo ni mwili uliovishwa na Roho wa Mungu. Mwili huu ni tofauti na wa mwanadamu yeyote aliye wa nyama. Tofauti hii ni kwa sababu Kristo sio wa mwili na damu bali ni mwili wa Roho. Anao ubinadamu wa kawaida na uungu kamili. Uungu Wake haujamilikiwa na mwanadamu yeyote. Ubinadamu Wake wa kawaida unaendeleza shughuli Zake zote za kawaida katika mwili, wakati uungu Wake unafanya kazi ya Mungu Mwenyewe.