3.28.2019

Wimbo wa Kuabudu | "Tabia ya Haki ya Mungu ni ya Pekee" | How to Know God


Wimbo wa Kuabudu | "Tabia ya Haki ya Mungu ni ya Pekee" | How to Know God


Mungu huonyesha tabia Yake ya haki kupitia mbinu na kanuni za kipekee,
haidhibitiwi na watu, matukio au vitu.
Na hakuna awezaye kubadili dhana au mawazo Yake,
au kumshawishi Ajaribu njia tofauti.
Hii ndiyo asili ya kipekee ya tabia ya haki ya Muumba!
Tabia Yake ya haki!

Mungu huhuku matendo na mawazo yote ya viumbe kwa tabia Yake ya haki.
Na kulingana na hili, Hutoa ghadhabu au kupeana rehema.
Na hakuna awezaye kubadili rehema au ghadhabu Yake.
Na ni kiini Chake tu kiwezacho kuamua njia hii.
Hii ndiyo asili ya kipekee ya tabia ya haki ya Muumba!
Tabia Yake ya haki!

Tabia ya haki ya Mungu, takatifu na ya kipekee;
hakuna awezaye kiuka au kushuku hili.
Hakuna awezaye kuimiliki, kiumbwacho au kisichoumbwa.
Ghadhabu ya Mungu ni takatifu; haiwezi kukosewa.
Rehema Yake pia yabeba asili hii.
Hii ni asili ya kipekee ya tabia ya haki ya Muumba!
Tabia Yake ya haki!

Hakuna mbadala wa Mungu katika Matendo Yake, kiumbwacho au kisichoumbwa.
Wala hawezi kuuharibu Sodoma au kuuokoa Ninawi kama alivyofanya Mungu.
Hii ndiyo asili ya kipekee ya tabia ya haki ya Muumba!
Tabia Yake ya haki! Tabia Yake ya haki!

kutoka katika Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya 


      Sikiliza zaidi: Nyimbo za injili

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni